semina

Gugudan SeMiNa (Korean: 구구단 세미나) is the second official subgroup of South Korean girl group Gugudan, formed by Jellyfish Entertainment in 2018. It is composed of three Gugudan members: Nayoung, Sejeong and Mina.

View More On Wikipedia.org
  1. Semina ya SOS Children’s Villages na REPSSI yawa kivutio kwa Polisi Dar

    Semina ya kuwajengea uwezo wa Afya ya Akili kwa Askari Polisi inayoendelea Jijini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Taasisi ya SOS Children’s Villages kwa kushirikiana na REPSSI imekuwa kivutio kwa Askari Polisi Washiriki kutokana na mada mbalimbali ikiwemo namna ya kumsikiliza mtoto mwenye msongo...
  2. J

    Dkt. Mwigulu: Tutabana Matumizi kwenye chai, vitafunwa, safari ndani na nje ya nchi na semina. Viongozi watumie usafiri wa pamoja ziarani!

    Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina. Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo moja basi watumie usafiri wa pamoja badala ya kila mmoja kwenda na gari yake. Source: TBC
  3. Wanaokuja kuishi Dar wapewe semina elekezi

    Katika utafiti mdogo niliofanya hapa Dar es Salaam nimegundua kuwa changamoto za mji huu haziishi na kwa kiasi kikubwa ni zile zile miaka yote kwa kuwa wakaazi wa mjii huu, hasa wale wageni hawataki kubadilika. Leo nimepita barabara ya Bagamoyo maeneo ya Mbezi, nikaona mdada mmoja anamwaga...
  4. Serikali ifuatilie semina wanazopewa Watumishi wa Umma wanaotaka kustaafu

    Habari zenu! Ofisini kwetu kuna utaratibu wa semina elekezi kwa watumishi wanaanza kazi na wanaotaka kustaafu. Kwa hii ya wanaoanza kazi iko vizuri maana hata Mimi nimeipata na kuona iko vizuri. Maana inabase kumjenga mtumishi mpya kiuzalendo zaidi na kuijua serikali yake. Imeanza wapi, iko...
  5. Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

    Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
  6. Semina za fedha

    Habari watafutaji wa jukwaa naomba kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi au kampuni inayohusika katika kutoa semina za mafunzo kazini za wafanyakazi wa ma bank kama, tellers, wahasibu, mapokezi, ma afisa mikopo n.k. Iko moja naifahamu inaitwa AFFLUENCE TRAINING LTD na nimeshiriki semina zao...
  7. Posho ya kujikimu kwa watumishi wa Umma yaongezwa, Ndugu Wanasemina mnaoendelea na semina mnapaswa kufahamu haki na stahiki zenu

    Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
  8. Kuna ulazima gani semina ya sensa kufanyika wiki 3. Huu ni urasimu, siku 1-3 zingetosha kabisa

    Habari! Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu. Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
  9. Ni wakati wa Kenyatta kupewa semina kabla ya kukutana na mama.

    Huwezi kukutana na mama Samia,rais wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa nchi na serlikali halafu unajiaachia tu ,unakaa Kama unasubiri githeri maeneo ya Kayore. Ebu angalia utulivu wa mama halafu linganisha na ule wa Uhuru Uhuru next time jitahidi brother.
  10. Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

    Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi. Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo. Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
  11. Waziri Dkt. Stergomena afungua semina ya Wanawake, asisitiza washirikishwe katika amani na usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefungua Semina kuhusu Agenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women Peace and Security Agenda) iliyofanyika tarehe 07 Juni, 2022 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Akihutubia washiriki wa Semina hiyo akiwa...
  12. SEMINA; Mbinu 7 Za Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo Katika Mazingira Yako

  13. Makongamano, warsha, semina nk vimeongezeka kwa kasi awamu ya Rais Samia, vinaligharimu Taifa

    Televisheni ya Taifa imekata matangazo ya Bunge la Bajeti na sasa wanarusha kongamano la viongozi wa dini kumuombea na kumpongeza Rais Samia kwa uongozi bora linalofanyika ukumbi wa mikutano wa Tughimbe mkoani Mbeya. Wapo viongozi wa dini, Serikali na waimbaji kutoka kona mbalimbali za nchi...
  14. Wachungaji msitumie maneno ya kudhalilisha utu wakati wa mahubiri au semina zenu

    Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi. Naandika huu uzi nikiwa na hasira kali sana dhidi ya baadhi ya wachungaji, manabii, Motivational speakers na wengine wote wanaotoa mahubiri au semina mbalimbali. Hii ni kwa sababu ya wengi kuanza kudhalilisha watu kwa kisingizio cha ushauri. Mara...
  15. T

    Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora. Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
  16. Mnyika apewe semina kwanza kabla ya kukutana na Rais Samia

    Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama. Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama kuomba pasipoti na ruzuku badala ya katiba yalionesha kupwaya sana kwa mwenyekiti na makamu wake, labda...
  17. Semina ya Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege - huduma ya Mana - Moshi, Kilimanjaro tarehe 16 mpaka tarehe 20 Februari 2022

    MWALIMU CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE - HUDUMA YA MANA - SEMINA, MOSHI, KILIMANJARO TAREHE 16 MPAKA TAREHE 20 FEBRUARI 2022. Bwana Yesu Asifiwe! HUDUMA YA MANA - MANA MINISTRY - Mwalimu Christopher & Diana Mwakasege Karibu sana watu wa Moshi na Mitaa ya Karibu, kwa walio mbali unaweza...
  18. Kelele kubwa katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Habari za mida, Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa...
  19. #COVID19 Semina na wanahabari na watu mashuhuri katika mitandao kuhusu afua za kinga ya UVIKO-19 pamoja na chanjo

    SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Amref Health Africa kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma inawakaribisha wote KESHO JUMAMOSI...
  20. Picha: Semina za CHADEMA Digital zaendelea huko Solwa, Shinyanga

    Wakuu kwanza tunaomba radhi sana kwa kuwachosha na hizi habari zetu za Chadema Digital, tunaomba tuvumiliane kidogo. Hapa ni kijiji cha Mwantini kwenye Jimbo la Solwa huko Shinyanga ambako semina za Chadema Digital zinaendelea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…