Kati ya matatizo tunayoyaona leo kwa wateule wanaopewa nafasi za uongozi nchini mwetu ni kushidwa kuelewa majukumu ya kazi zao mpya, maadili na nini maana ya viapo vyao kabla ya kuingia ofisini. Kiongozi yeyote anapoapa atambue hiyo nafasi si yake tena, bali hiyo ni nafasi ya Mwenyezi Mungu...