Seneta mteule Karen Nyamu amerejea tena kwenye gumzo la mitandao baada ya video ya jana katika Bunge la Seneti kumuonyesha akinyonya kidole wakati wa kikao.
Na hii si mara ya kwanza kwa tukio linalomhusisha Nyamu kugeuka mjadala mkubwa mwaka huu. Kuanzia malumbano yake kuhusu mwanafunzi wa...