Habari zenu wakuu humu ndani.
Kiufupi naomba kufahamu nikihitaji kujifunza kutengeneza bidhaa za ngozi kama viatu na sendo inaweza chukua muda gani, na endapo nikihitaji kuwa na ofisi angalau ya kuweza kutengeneza bidhaa 30 iwe viatu au sendo mtaji wa vifaa vyote vinavyohusika walau niwe na...