senene

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    Leo naomba kujuzwa kuhusu senene wa bukoba

    Naomba nielimishwe kuhusu senene wa bukoba. Je wanaharibika baada ya muda Gani? Na kwanini wapo bukoba ZAIDI kuliko maeneo mengine?
  2. Uhakika Bro

    Leo ninajadili na maRasta: Je? Ulaji wa wadudu kama panzi, senene na mchwa ni sehemu ya ital?

    Wa gwaan, Jah Rastafarai, Selasie I King. Wakush mpo? Ni amanii? Swali hili linawahusu pia ma-vegetariano (sio ma-vegan), watu wote ambao kwa sababu zao na za ki-maadili hawali wanyama (ila wanatumia bidhaa zao kiasi) naomba wote mnijibu lakini haswa hawa marasta. Kulingana na kanuni za ulaji...
  3. A

    DOKEZO Kukatika ovyo kwa umeme hasa msimu wa senene Muleba

    Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato. Kabla ya msimu huu wa senene...
Back
Top Bottom