Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato.
Kabla ya msimu huu wa senene...