seneti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kash Patel, Mkurugenzi wa FBI ameanza kwa kuilisha matango pori seneti ya US kuhusu mauaji ya dikteta Idi Amin!

    Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji wa kimbari ambapo Wahindi laki tatu(300,000) waliuwawa kwasababu ya kuwa Wahindi kama yeye tu. Huu...
  2. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  3. G

    Chama cha Donald Trump "Republicans" wameshinda kura nyingi za kuongoza Bunge la Seneti

    Mods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi Kuna mabunge mawili marekani, Bunge dogo ni Baraza la wawakilishi na Bunge kuu ni Seneti. Tayar Senate na urais vipo chini ya Republicans, Bado House / Baraza la wawakilishi ili kuikamata nchi kikamilifu...
  4. T

    Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  5. T

    Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  6. B

    Ridhiwan Kikwete kuongoza mahafali ya seneti mkoa wa Morogoro, Juni 8

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Mb) Mhe. Ridhiwani Kikwete atakuwa Mgeni rasmi kesho Jumamosi Juni 08, 2024 kwenye Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Seneti ya Mkoa wa Morogoro katika Chuo cha Jordan kwenye Ukumbi wa Jordan Hall. 📍08 June 2024 📍 JORDAN...
  7. G

    Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  8. Webabu

    Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa dola Bilioni 9 kwa Israel na Ukraine. Wengine watishwa wasiisaidie Hamas hata senti

    Baada ya kikao cha usiku kucha baraza la seneti limekubali na kupitisha msaada mkubwa wa dola karibu bilioni 100 kwa nchi mbili marafiki ambazo ziko vitani. Sehemu ya msaada huo itakwenda Israel ambayo imeshaua karibu wapalestina 28000 na nyengine kwa Ukraine inayopigana na Urusi. ===========...
  9. PakiJinja

    Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

    Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
  10. K

    Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  11. BARD AI

    Democrats wafanikiwa kutetea udhibiti wa Bunge la Seneti

    Democracts wamefanikiwa kupata viti 50 vya Wabunge huku chama anachotokea Donald Trump, Republican wakibaki na viti 49. Rais Joe Biden amesema amefurahishwa sana na matokeo hayo huku akiwataka Wabunge wa Republicans kufanya uamuzi wa kujua wao ni nani kwenye siasa za Marekani. Pamoja na...
  12. M

    Wamarekani wanajadiliana uchafu hadharani kwenye baraza lao la seneti: Wanajadili kuhusu haki za wanaume kutoa mimba

    Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo. Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic” Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu...
  13. Lady Whistledown

    Bunge la Seneti la Marekani lapitisha Muswada wa Udhibiti wa Bunduki

    Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
  14. beth

    #COVID19 Brazil: Kamati ya Seneti yapendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe

    Kamati ya Seneti nchini imepiga kura kupendekeza Rais Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa namna alivyoshughulikia janga la Virusi vya Corona. Hakuna uhakika kwamba kura hiyo itapelekea afunguliwe mashtaka kwani mapendekezo ya Ripoti lazima yatathminiwe na Mwendesha Mashtaka Mkuu ambaye ni Mteule wa...
Back
Top Bottom