sengerema

Sengerema District is one of seven districts in the Mwanza Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north and east by Lake Victoria, to the south by Geita Region and to the southeast by the Misungwi District.
As of 2002, the population of Sengerema District was 501,915. The district's population has grown to 663,034 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Vikundi 111 vyanufaika mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya Shilingi milioni 362

    Vikundi 111 vya akina mama, vijana, na wenye ulemavu katika Halmashauri ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 kutoka kwa Halmashauri hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 362 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
  2. machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

    Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya...
  3. DOKEZO Serikali imulikeni Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema pesa zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani

    Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema. Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
  4. N

    DOKEZO Shule ya Msingi Irunda (Sengerema - Mwanza) ina Wanafunzi 900 ila madawati yapo 60

    Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni. Shule hiyo yenye Wanafunzi wapatao 900 ina madawati yasiyozidi 60, inapofika nyakati za Mitihani...
  5. A

    DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

    Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu. Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema. 1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi...
  6. Mgodi Mkubwa wa Dhahabu Nyanzaga - Sengerema Kuanza Ujenzi Mkubwa Januari 2025

    MGODI MKUBWA WA DHAHABU NYANZAGA - SENGEREMA KUANZA UJENZI MKUBWA JANUARI 2025 ⚫️ Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia ●Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500 ● Waziri Mavunde aelekeza mgodi kufuata mpango wa CSR kwa mujibu wa Sheria. ●Aitaka Tume ya Madini kuwajengea uwezo...
  7. LGE2024 Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM aandikisha wapiga kura Sengerema

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
  8. Anayekifahamu Chuo cha Sengerema Health Institute na Mvumi Health Institute.?

    Nimerudi tena jukwaani baada ya humu kumshauri mdogo wangu kusoma hii kozi ya diagnostic radiography sasa dogo langu kachaguliwa kwenye hizi institute mbili. Kwa anayezifahamu au ambao wamewahi kusoma katika moja ya hizi institute , Ni college gani nzuri kati ya hizi mbili hasa kwenye suala la...
  9. DC Sengerema afafanua taarifa ya kivuko kimoja kusimama kutoa huduma Kigongo - Busisi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna changamoto kubwa ya foleni eneo la Busisi kwa Watu wanaohitaji kuvumia kivuko kuvuka tangu usiku wa kuamkia jana Agosti 29, 2024, akidai Kivuko hakifanyi kazi, upande wa Serikali umeeleza kinachoendelea. Mwanachama huyo alidai hali hiyo...
  10. Askari Polisi bandia aitwae Son, ageuka gumzo wilayani Sengerema jijini Mwanza kwa kuwatapeli Madereva wa vyombo vya moto

    Kijana mmoja almaarufu kwa jina la SON mkazi wa Sengerema jijini Mwanza amekuwa gumzo kwa wakazi wa wilaya hiyo kwa kujifanya askari wa jeshi la polisi. Kijana huyo mwenye mtandao mkubwa wa marafiki ambao ni ma askari amekuwa akitumia fursa hiyo ya kujuana na ma askari na yeye kujifanya...
  11. K

    Wananchi wakaidi agizo la mbunge kubomoa Nyumba zao Sengerema

    Wananchi wa Jimbo la Sengerema kata ya KISHINDA Kijiji cha TUNYENYE wamekaidi agizo la Mheshimiwa Mbunge wao Ndugu Hamis Tabasamu Mwagao kubomoa Nyumba zao kwa hiari. Hii ni kutokana na ukweli kuwa,kuna upanuzi wa barabara inayoendelezwa na (TANROADS)ambayo ilikuwa chini ya TARURA...
  12. N

    Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

    Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko Sengerema, Mwanza anaweza kusimamia hili suala. NB: MKOPO UMESHALIPWA MIAKA 5 ILIYOPITA Pia soma...
  13. KERO Mamlaka ya maji Sengerema (SEUWASA) mmeamua kuwanywesha maji ya kisima wananchi wenu ili wapate kipindupindu vizuri?

    Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako...
  14. T

    Stendi ya Mabasi Sengerema ina hali mbaya, Halmashauri haioni?

    Moja kwa moja kwenye mada. Stendi ya Mabasi Sengerema ni moja ya stendi inayohudumia magari mengi kwa siku. Magari yote yanayokwenda mikoa ya Kigoma, kagera, Geita na wilaya zake kutoka Mwanza yanapita hapo. Kinachosikitisha stendi imejaa mashimo kama majaruba, gari zinapita kwa shida, Ushuru...
  15. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza apewa wiki tatu na Mwenezi Makonda kuhakikisha Hospitali ya Sengerema Inafunguliwa

    📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa...
  16. Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  17. M

    CCM Sengerema yapeleka mashabiki Rwanda

    Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza. Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka mikoa mingine kupiga mjini napa Kwa shangwe za vuvuzela
  18. K

    Lissu akiwa Sengerema apigilia msumari wa "akili matope" kwa Rais kuwapa DP World madaraka yake kama mdhamini wa ardhi

    Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi, sio yeye kuomba. Tundu akauliza hii ni akili au...
  19. DOKEZO Mwanza: Wananchi Sengerema wapinga kubomolewa nyumba zao bila fidia

    Leo majira ya asubuhi hapa Wilayani Sengerema mkoani mwanza tulialikwa kwenye kikao cha watu kutoka TANROADS Mwanza wakielezea kuhusu mradi wa barabara ya Sengerema Buchosa agenda zao zilisema yafuatayo: 1. Watafanya upimaji hivi karibuni 2. Upimaji wa eneo la barabara ambao utajumuisha mita...
  20. Sengerema: Kikongwe wa Miaka 102 Afunga Ndoa na Mkewe Mwenye Miaka 90

    Hongera kwao ila mwenye miaka 90 anaonekana Mzee Kupitia wa miaka 102. ===== Masasila Kibuta (102) mkazi wa kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza ameshangaza umati wa waumini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Nyamazungo baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe Chem Mayala (90)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…