sengerema

Sengerema District is one of seven districts in the Mwanza Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north and east by Lake Victoria, to the south by Geita Region and to the southeast by the Misungwi District.
As of 2002, the population of Sengerema District was 501,915. The district's population has grown to 663,034 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. DOKEZO Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Sengerema achunguzwe

    Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu. Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
  2. Mei Mosi Mwanza Itafanyika Wilaya ya Sengerema

    MHE. HAMIS TABASAM AWAKARIBISHA WANAMWANZA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI ZITAKAZOFANYIKA SENGEREMA Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoa wa Mwanza, Mhe. Hamis Tabasam amewakaribisha wananchi wa Sengerema na Mwanza kwa ujumla kushiriki maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika Sengerema...
  3. Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  4. Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 na Kivuko cha Buyagu-Mbalika. Aprili 23, 2023

    Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023. Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Anasema: “Utashi na maoni ya Rais Dkt. Samia ni kuwa ili Tanzania iendelee moja ya kitu muhimu ni kujenga na kuboresha...
  5. Naibu Waziri Utalii Mary Masanja awainua kiuchumi wanawake wa Sengerema

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Mizinga 100 ya Nyuki (Milioni 10) na Mitungi ya gesi 150 (Milioni 12,750,00) kwa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sengerema kwa lengo la kuwainua kiuchumi na fedha taslimu shilingi milioni...
  6. Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

    Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa...
  7. N

    Uzi maalumu wa kumpongeza Rais Samia kwa miaka miwili akiwa madarakani

    Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania tulijiandaa kusikia ajenda nyingi walizokua wameanda kwa zaidi ya miaka 5 lakini mambo yamekua tofauti...
  8. House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  9. Waziri wa Maji; Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji jimbo la Sengerema kiti anachokalia sio size yake, akae pembeni

    Asalam Wapo watendaji wa serikali wanafanya kazi kwa mazoea kwa kuamini hakuna mbadala yao. Wapo pia wafanyakazi ambao hawafanyi kazi ipasavyo kwa kuamini kuwa wenye mamlaka ni washkaji zao na hivyo hawana uthubutu wa kuwawajibisha. Wapo watu wakikaa kwenye system hubweteka na wakiondolewa tu...
  10. Serikali ikichunguze kivuko cha Busisi-Kigongo upande wa Sengerema. Kuna hujuma kwa wavuka kwa miguu

    Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi. Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali. NB:Maendeleo hayana chama
  11. Wanaume wa Wilaya ya Sengerema walalamikiwa kwa tabia ya kuwapa wanafunzi ujauzito

    Sengerema wanafunzi wapatao 254 wa shule za msingi na Sekondari Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wamekatishwa masomo kwa kupatia ujauzito kwa mwaka Kati ya mwaka 2020/21. Hayo yamebainishwa na mkuu wa dawati la Jinsia Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Insepectar wa Polisi Martha Silvesta...
  12. Sengerema, Mwanza: Fisi ajeruhi wawili wakiteka maji

    Watu wawili wamejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za miili yao katika Kijiji cha Nyamabano, Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wakati wakiteka maji kwenye lambo. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Oktoba 4, Ofisa Mtendaji kijiji hicho, Mathias Njoluli amesema...
  13. Sengerema: Viongozi wapigwa chini kwa kukusanya mchango wa ujenzi wa zahanati kwa lazima

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa kijiji cha Nyamililo Wilayani Sengerema Mariamu Mgunda, pamoja na mwenyekiti wa Kijiji hicho Mateso Shibayi na kuwaweka ndani kwa kosa la kuchangisha kwa nguvu fedha za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…