Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya:
Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti?
kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu Agosti 29, 2022 saa 2 asubuhi.
Makinda amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya Sensa ya Watu na Makazi.
Sensa ya Watu na Makazi ilianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.