sensor

  1. halfcastmangi

    Mizani yote ya kupima magari asilimia kubwa sensor zinazimwa makusudi

    Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi, Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
  2. L

    Wapi naweza kupata kifaa cha GPS Sensor?

    Ni wapi naweza kununua device ya namna hiyo kwa ajili ya kuonyesha location?
  3. FRANCIS DA DON

    Napendekeza nguzo zote za umeme zichukuliwe GPS coordinates, na zifungwe sensor , taarifa zote zilishwe kwenye mfumo wa Geomap ya Tanesco.

    Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme. Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
  4. muuza ubuyu

    Sensor za Toyota Harrier 1998

    Habari wakuu, Nilinunua gari langu tangu mwaka 2016 ilipofika mwaka 2017 lilianza tatizo lakuwa linakomea gear namba 3. Nilikaa nalo kwa muda karibia miezi sita ndiyo kuja kupata ufumbuzi ni knock sensor. Nilitafuta used zikawekwa na tangu siku hiyo gari likapona na kurudi uhalisia wake...
  5. Njegele

    Msaada: PC yangu sensor haifanyi kazi, tatizo ni nini?

    Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
  6. C

    INAUZWA Bosch MAF sensor ya BMW E46

    Habari Wakuu Nimekosea kuagiza MAF sensor ya gari, badala ya kuagiza ya BMW E90, nimeagiza ya BMW E46/E81/E87. Aina ni Bosch 0280218075 AIR MASS SENSOR-3(E46)1(E81/E87 Bei ni laki 3 ingawa nimelipia $117 halafu jumuisha ushuru kutoka Dubai kupitia Aramex. Kwa anayehitaji, wasiliana...
  7. BARD AI

    iPhone 14 Pro na Pro Max zinatumia sensor ya Camera yenye uwezo wa 48Megapixels

    Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP. Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP. Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na...
Back
Top Bottom