sepetu

Wema Sepetu (born 28 September 1990) is a Tanzanian actress and beauty contestant who won the Miss Tanzania contest in 2006 Miss Tanzania. She represented Tanzania in Miss World 2006, which was held in Poland. She later became an actress in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni Mkutano kisiasa wa CCM , ila Waandishi wa habari wanamuhoji WEMA SEPETU masuala ya yeye Kutokuzaa, na masuala ya Mbwa wake "Manunu"

    Wakuu hivi hii Generation ya Waandishi wa habari imetokea wapi 🤣🤣 https://youtu.be/aS5a0j4pvTk?si=S4cjS7qxzOIZSn8N
  2. Huyu Mwanamke alikuwa ni Pisi alafu ana nguvu balaa, achana na hawa kina Mobeto na Sepetu

    Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana. Achana na akina Wema Sepetu. Achana na akina Mobeto. Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya. Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye hili, waliona huyu mwanamke anaweza kuleta songombino, wakaamua kumkausha. Hebu subiri. Msije kusema...
  3. Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli. Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester...
  4. Whozu: Nikiachwa na Wema Sepetu nitajiua

    Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini. Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema, "Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku...
  5. Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

    Kiukweli miongoni mwa mambo ambayo anashauku nayo Wema Sepetu basi ni kupata mtoto. Wema ameshajaribu kila namna kupata mtoto lakini anaambulia patupu zaidi na zaidi alichobakisha sasa hivi ni kungojea tu kudra za Mwenyezi Mungu aweze kumbariki na yeye siku moja aitwe mama. Lakini kiuhalisi ni...
  6. Tunamshukuru Wema Sepetu Kujisifia kuwa sasa kaacha Kunywa Pombe, ila mkumbusheni hajatuambia kuhusu Bangi kama nayo kaiacha au hatoiacha Abadan?

    "Sijafanya Birthdays Parties zangu kwa miaka Mitano sasa ila hii ya mwaka huu nimeifanya ili Kusheherekea Kwangu kuacha kabisa Kunywa Pombe kwa miezi Tisa tokea Mwezi January 2023" amesema Mlimbwende wa zamani nchini Tanzania Wema Sepetu baada ya Kuongea na Waandishi wa Habari. Katika Pombe...
  7. S

    Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

    Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33. Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na...
  8. Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

    https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa. Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
  9. Wema Sepetu ameanza kuzeeka sasa!!

    Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo miaka kwa miaka. Yaani akipata interview yoyote kama ataulizwa swali la umri basi ni miaka 26...
  10. Kwanini waislam wamuandame Wema Sepetu kisa kimpost Whozu?

  11. Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

    Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa. Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki...
  12. Wema Sepetu asema hayupo tayari kuolewa

    Wanangu wa udaku, Wema Sepetu kupitia kipindi chake cha 'Cook with Wema amezua balaa.' Msikilize hapa:
  13. Wema: Mungu ananitendea miujiza

    Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri. “Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu vinakwenda sawa kama ninavyotaka na nilivyopanga, kiufupi Mungu amenitendea miujiza. “Jamani mniache tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…