Katika jamii yetu ya Watanzania, suala la kuzuiliwa kwa miili ya marehemu hospitalini kutokana na madeni ni tatizo ambalo limekua likijirudiarudia mara kwa mara na kuzua mijadala mikali.
Wengi tunaamini kuwa madeni haya yasamehewe kwa sababu aliyekufa sasa ni maiti, na kwa mtazamo wetu, mwili...