sera ya ppp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Rais Samia: Barabara ya Handeni - Kiberashi - Singida Ijengwe kwa PPP

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati...
  2. Y

    Sera mpya ya Elimu, PPP ya David Kafulila ndani

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akiizundua Sera mpya ya Elimu ya Taifa hilo amezitaka mamlaka zinahusika kuhakikisha mashirikiano baina ya Serikali na Sekta binafsi PPP yanaingia kwenye Sera hiyo Mpya ya Elimu ili kufundishwa mashuleni. Huko mbele...
  3. milele amina

    Kafulila asipodhibitiwa ataudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa Ushirikiano Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi

    Kafulila asipozibitiwa anaudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Katika kipindi hiki, ni muhimu kuelewa kwamba PPP siyo mpango wa kupeleka fedha nyingi kwenye miradi bila uangalizi, bali ni njia ya kuimarisha...
  4. J

    Kafulila: Rais Mkapa alijutia kuiua PSRC Parastatal Sector Reform Commission, PPP haiuzi Mali za Umma bali inazilinda kwa kipindi chote cha mkataba

    Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter. Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu ikapata hasara ya mali na fedha kwa kuingia Ubia na Sekta binafsi toka ndani au nje ya Tanzania...
  5. Vugu-Vugu

    Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

    CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni, TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa. Mkurugenzi huyo...
Back
Top Bottom