Wakuu,
Nafatilia hizi press zinazofanywa kila mara na Mbowe, pamoja na press anazofanya Lissu. Tumeshamsikia Lissu akisema mara nyingi kuhusu kufanya reforms CHADEMA, kupambana na rushwa pindi atakapoingia, etc.
Ila ukifika kwa Mbowe, ni malalamiko mwanzo mwisho. Mimi nimekilea CHADEMA toka...