serengeti lite

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  2. C

    Kwa watumiaji wa kinywaji cha Serengeti Lite

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kinywaji hiki pendwa cha Serengeti Lite Mwanzoni kilipoanza kusambazwa kwa watumiaji chupa zake zilikuwa na maandishi madogo kwenye chupa yanayooeleza tarehe ya kutengezwa na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kinywaji hicho na zilikuwa na ladha nzuri sana. Baadaye...
  3. P

    Serengeti Lite

    Big up kwako mpishi wa hii beer pendwa. Tangu wiki hii wanywaji tumegundua kuna mabadiliko makubwa sana katika ladha. Ni nzuri na ni laini vizuri kabisa. Endeleeni hapo. Kuna kipindi ladha ilianza kuwa ya ajabu ajabu this time, whatever you did. Endelea.
  4. S

    Je, ni kweli Serengeti Lite na Castle Lite hazileweshi?

    Nasikia castle lite na serengeti lite hazileweshi na ukilewa ukilala dakika 15 tu pombe yote imeisha ani hamna hengova.
  5. Mrejesho wangu baada ya kutumia Serengeti lite

    Wakuu kwema. Mi sio mdau sana wa kilevi. Ila kutokana na matatizo, upweke na stress zilizoniandama hivi karibuni nimeona hakuna jinsi. Nilianza na St. Ann, Dompo ila izo uwa nagusa tu kidogo robo glass tu. Ila nilipojaribu Castle Lite Ijumaa niliona mabadiriko. Bia ina utamu wake. Sasa leo...
  6. K

    Baada ya kuona status yangu nakunywa bia, amenipenda kwa kasi ya ajabu

    Habari wakuu Hakika wanawake kuwaelewa ni ngumu mno, ni mwezi mmoja umepita tangu nilivyomuapproach mtoto mmoja hapa jiji la joto na akanitolea nje. Nikapambana kila namna lakini mtoto hakunielewa ndani ya siku 4 nikajikatia tamaa. Ilibaki tunaonana kupitia status za wasap pasipo kucoment...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…