Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa.
Pamoja na mapungufu ya wadau hao wa Soka bado ni watu muhimu kwenye uga wa hamasa na kukosea kwao isiwe sababu ya kushindwa...