Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko.
Rico (29) alikuwa katika Mji wa Huelva na baada ya ajali hiyo iliyohusisha farasi kugongana alisafirishwa kwa helikopta...