serikali awamu ya 5

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

    Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo...
  2. Kama kweli unamchukia Hayati Magufuli fanya haya utuachie tunaompenda

    Usipite na gari lako Kijazi interchange. Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi. Fanya hivyo boss utakua na amani. Tuache kudharau viongozi wetu tusitukane tuwaheshimu wote. Kama unaona unakereka na uongozi wa kiongozi yeyote jenga hoja njoo na data...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…