Nimemsikia Rais Samia akiviasa vyombo vya habari kulazimisha. kuhabarisha MILA, DESTURI NA HESHIMA l za mataifa mengi zinzokwenda kuntume za kwetu.
Kama Rais akiwaasa wanahabari yeye kama mkuu wa serikali ni wakati gani serikali huwa na haki ya kuvunja mila, desturi na heshima za jamii...