serikali imzuie king of squats

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dr namugari

    DOKEZO Serikali imzuie huyu jamaa kuingia nchini, ana agenda amebeba

    Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza makalio Sasa taarifa zilizopo zinaeleza kuwa ataingia nchini June 29 na sijajuwa atakuwepo hadi lini...
Back
Top Bottom