Wakuu,
Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa.
Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?
Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.
Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..
Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.