serikali kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Tabora: Viongozi wa Serikali za Mitaa waomba Serikali Kuu kuwaongezea posho muda mchache baada ya kuapishwa!

    Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?
  2. Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  3. Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

    Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini. Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania.. Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…