Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie
Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...