Kuna ulazima wa serikali kuingilia kati hata kushauriana na TFF hasa suala hili la mpira.
Ilikuokoa timu ya taifa, mimi kwa mtazamo wangu tungeanza na kupunguza wachezaji wa kigeni angalau hata saba 7.
Kukaa bench ni hatari sana kwa mchezaji yeyote yule, ingawaje hapa watu watakuja kusema...