Tangu kuanza kwa Karne ya 21, imekuwepo changamoto ya ajira kwa vijana wengi wenye taaluma (Wasomi) katika mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Changamoto hii imekuwa kikwazo kwa vijana wengi kutimiza ndoto zao katika maisha, hivyo wengi wao wakijikuta wakiishi maisha yasiyo endana na...