serikali ya kongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama unataka Ukuu wa Wilaya nenda DRC. M23 imetangaza kuunda Serikali mpya huko Kivu pamoja na kufanya teuzi

    Waasi wa M23 wameunda Serikali mpya nchini DRC kwa kumteua Kanali Bahati Musanga kuwa Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini, manaibu Gavana wawili, Willy Manzi na Shadary Bahati, Meya wa Jiji la Goma, pamoja na Wakuu wa Wilaya. M23 imetangaza uteuzi huo wiki moja baada ya kuuteka mji wa Goma, huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…