serikali ya mpito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Gabon: Marufuku Maafisa wa Serikali Kusafiri nje ya Nchi kwa ajili ya Likizo

    Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema amepiga marufuku maafisa wa serikali wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo. Pia ameweka ukomo wa likizo kwa muda usiozidi wiki moja kwa maafisa hao wa serikali Msemaji wa Serikali ya Mpito alifafanua kuwa maamuzi haya yanalenga kuhamasisha...
  2. L

    Watanzania tunajifunza Nini kwa Vijana wa Bangladesh Waliomchagua Muhammad Yunusi Mwenye Umri wa Miaka 84 kuongoza Serikali ya Mpito?

    Ndugu zangu Watanzania, Kule Bangladeshi siku chache zilizopita vijana wa Taifa hilo hususani wanafunzi waliongoza Maandamano makubwa ya kumuondoa Madarakani Sheikh Hasina ,ambaye yeye na serikali yake walikuwa wanatuhumiwa na kushutumiwa kwa masuala mbalimbali ikiwepo kukithiri kwa Vitendo vya...
  3. The Sheriff

    Muhammad Yunus kuongoza serikali ya mpito Bangladesh baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu na kukimbia nchi

    Muhammad Yunus Muhammad Yunus, ambaye ni mshindi wa Nobel ndiye atakayeongoza serikali ya mpito ya nchi ya Bangladesh baada ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina kujiuzulu na kukimbia nchi kufuatia vuguvugu kubwa la kupinga utawala wake lililoongozwa na wanafunzi. Tangazo hilo limetolewa...
  4. Cute Wife

    Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

    1/7/2024 Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki iliyopita amefia Nakuru na Daniel Kakai (17) mwanafunzi kutoka Bungoma aliyepigwa risasi Alhamisi...
  5. Miss Zomboko

    Sudan Kusini yaongeza muda wa Serikali ya mpito kwa miaka 2

    Viongozi wa Sudan Kusini wametangaza hii leo kwamba Serikali ya mpito ya nchi hiyo itasalia madarakani kwa miaka miwili zaidi ya muda uliokubaliwa, katika hatua ambayo washirika wa kigeni wamesema inakosa uhalali. Waziri anayehusika na masuala ya baraza la Mawaziri Martin Elia Lomuoro, amesema...
  6. Singo

    Serikali ya Mpito, ipo au haipo

    Wasalaam, Nimehamasika kuja na uzi tajwa baada ya kumsikia mama rais Samia akionesha kushangazwa na kusikitishwa na minong'ono iliyokuwepo bungeni kipindi kile baada ya aliyekuwa rais wa Tanzania JPM kufariki dunia Kwa mujibu wa mama,ilimbidi kusoma katiba na hakaona kitu kinachoitwa...
  7. Poppy Hatonn

    Video: Umoja wa Ulaya ma Marekani wanapanga serikali ya mpito Ethiopia

    Ndege nyingi za mizigo za US Air Force zimekuwa zinatua Djibouti siku za karibuni. Hawa TPLF,Tigray People's Liberation Front ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa Marxist-Leninist League of Tigray. Since, I don't know when,there have always been Marxist-Leninists rioting in Ethiopia. Na sasa hivi...
  8. beth

    Sudan: Jeshi lakubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito

    Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN) Mjumbe Maalum wa UN, Volker Perthes amesema majadiliano hayo yametoa Muhtasari wa Mpango unaoweza kukabiliana na Mapinduzi ya...
  9. beth

    Mali: Serikali ya Mpito yamfukuza Mwakilishi wa ECOWAS

    Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake. ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
  10. beth

    Mali: Makamu wa Rais wa mpito asema anashikilia madaraka. Adai Rais na Waziri Mkuu hawakumshirikisha katika kuunda Serikali mpya

    Makamu wa Rais wa Mpito Nchini Mali, Kanali Assimi Goita amesema amechukua madaraka baada ya Rais wa Mpito na Waziri Mkuu kushindwa kumshirikisha katika uundaji wa Serikali. Goita ambaye aliongoza Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Agosti 2020 amesema alielekeza kushikiliwa Viongozi hao baada ya...
Back
Top Bottom