Wadau hamjamboni nyote?
Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit
Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya
Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa, huku vyama vikijaribu kuunda serikali ya mseto baada ya uchaguzi wa hivi majuzi kutotoa mshindi wa moja kwa moja. "Kikao cha kwanza cha Bunge kitakuwa Ijumaa, 14 Juni 2024," aliandika Jaji Mkuu Raymond Zondo katika agizo...
Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto.
Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO"
Tanganyika ina bahati...
Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania.
Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari jambo husika lina baraka za watawala na liko mbioni kutumia au kutokea.
Kwa misingi huo, naiona...
Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana).
Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani...
Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, Mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.
Sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.