serikali ya mseto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  2. Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana Ijumaa wakati vyama vinang'ang'ania kuunda Serikali ya mseto

    Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa, huku vyama vikijaribu kuunda serikali ya mseto baada ya uchaguzi wa hivi majuzi kutotoa mshindi wa moja kwa moja. "Kikao cha kwanza cha Bunge kitakuwa Ijumaa, 14 Juni 2024," aliandika Jaji Mkuu Raymond Zondo katika agizo...
  3. Ili kudumisha mshikamano wa Kitaifa anaousema Rais Samia, tuiige Zanzibar kuwa na Serikali ya Mseto 2025

    Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto. Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO" Tanganyika ina bahati...
  4. Je, mwanzo wa Ruto kutawala peke yake ndiyo umemalizika tutegemee serikali ya mseto?

    Japo mambo ya Ngoswe tulipaswa kumwachia Ngoswe, rais Samia S Hassan hivi karibuni alisikika akijisifu kuwa Kenya inapoteza wawekezaji kwa Tanzania. Sijui alipitiwa, alishauriwa vibaya au hajui diplomasia na biashara. Waingereza wanasema when you see your enemy making mistakes never interfere...
  5. J

    Tanzania kuna haja ya kuwa na Serikali ya Mseto?

    Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
  6. S

    Serikali ya mseto mbioni kama wengine tulivyotabiri. Je, CHADEMA watakubali kushiriki katika Serikali ya aina hiyo?

    Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari jambo husika lina baraka za watawala na liko mbioni kutumia au kutokea. Kwa misingi huo, naiona...
  7. S

    If you can't beat them, join them: Naziona dalili za CCM kuja na wazo la Serikali ya mseto huko mbeleni

    Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana). Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani...
  8. Madhara ya Serikali ya Mseto

    Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini. Bila shaka, Mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai. Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa. Sijui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…