serikali ya mtaa

  1. Doyi

    Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  2. JanguKamaJangu

    Wananchi Wanadai Serikali ya Mtaa inahujumu ulipaji wa Fidia kupisha Bandari Kavu, Tunduma Mkoani Songwe

    Baadhi ya wananchi Wanaotakiwa kupisha Ujenzi wa Bandarikavu katika eneo la Nandanga, Kata ya Mpemba, Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mkoani Songwe wameilalamikia Ofisi ya Serikali ya Mtaa kushindwa kuwashirikisha katika hatua za Mchakato wa kulipa fidia na kuandikisha watu wasiohusika kwa lengo...
  3. Kinoamiguu

    LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

    Wandugu kwema? Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana mitaani akiwa ameambatana na wapiga MDUNDIKO. Mgombea huyo hakuwa anaongea lolote kwa wananchi kwa...
  4. Roving Journalist

    LGE2024 Juma Duni Haji: Serikali ya Mtaa ndio Ufalme wenu, pigeni kura

    Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la Kinondoni, Novemba 22, 2024, amesema: "Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili. Itakuwa miujiza mitaa hii...
  5. ngara23

    LGE2024 Kigezo cha wagombea wa viongozi wa serikali ya mtaa kudhaminiwa na uongozi wa Chama chake Kwa ngazi ya kitongoji, ni ngumu Kwa vyama vichanga

    Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa sababu ni vichanga Bunge lilitungaje hii sheria kandamizi Kwa democrasia yetu Yaani Leo Chauma uikute...
  6. N

    KERO Serikali ya Mtaa Yombo Vituka, mnatuchanganya, wekeni ufafanuzi wa kiasi cha kulipa “hela ya Taka”

    Mimi ni Mkazi wa Kata ya Yombo Vituka, hapa mtaani kwetu moja ya kero kubwa ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka. Viongozi wetu wa Serikali ya Mtaa wanaweza kuona ni kitu kidogo lakini kina kera, kwanza tunapolipa tunatakiwa kulipa kwa kila chumba au kwa...
  7. KING MIDAS

    Kwanini serikali ya CCM haitaki uchaguzi wa serikali ya mtaa usimamiwe na TUME HURU YA UCHAGUZI?

    kipara kipya, Lucas Mwashambwa, the big boss, CHAWA, ChawaWaMama na wengine. Naomba majibu. Kwanini hamjiamini? Je ni kweli bila figisu CCM haishindi?
  8. A

    Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  9. Boeing787-8

    Interview za Utumishi na barua kutoka Kwa serikali ya mtaa

    Hello, Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi. Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI. hapa...
  10. Richard

    Bunge libadili Sheria ya makosa ya jinai, mtu anekamatwa nyumbani/ mtaani ni lazima mjumbe wa nyumba kumi na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wawepo

    Katika miezi ya hivi karibuni kumekuwepo na hali ya sintofahamu pale ambapo watu wapotea tu mitaani na vitongojini na baadae kuja kupatikana wakiwa hoi na taabani. Wananchi hawa hukutwa maeneo hatarishi kama misituni na pembezoni mwa barabara huku wakiwa na majeraha makubwa kwenye miili yao na...
  11. BARD AI

    Mbunge wako na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wanafika eneo lako kushughulikia Kero au ndio wamepotea hadi Uchaguzi ujao

    Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
  12. Papaa Mobimba

    Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni. Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
  13. JanguKamaJangu

    Serikali ya Mtaa Kawe: Kweli kuna kundi la Wahalifu wanatumia kivuli cha Ulinzi Shirikishi, wanatuchanganya sana

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers. Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
  14. BARD AI

    Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
  15. JanguKamaJangu

    Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

    Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023. Tukio la wizi lilivyokuwa Dada mmoja...
  16. Anna Mwandosya

    Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  17. K

    Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  18. H

    Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Bonyokwa atuhumiwa kuhifadhi wahalifu!

    Serikali ya Mtaa wa Bonyokwa iliyopo Kata ya Bonyokwa katika Manispaa ya Ilala anatuhumiwa kushirikiana na baadhi ya Polisi ambao sio waaminifu kutoka Kituo cha Polisi cha Stakshari kuwalinda wahalifu ambao wameendelea kufanya uhalifu Kwa wananchi wa Mtaa huo . Mwenyekiti ambaye anajulikana kwa...
  19. Rufiji dam

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Stop Over kwa Kapinga ni mwizi wa pesa za ulinzi shirikishi

    Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD. Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
  20. J

    Wananchi wabomoa nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kishiri, Nyamagana

    Wananchi wenye hasira wa mtaa wa Kishiri huko Nyamagana Mwanza wamebomoa nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa madai ya kumuua kijana mmoja aitwaye Kinyasi Inadaiwa mwenyekiti huyo alimkamata Kinyasi kwa madai kuwa aliiba ndala na kumpiga hali iliyopelekea kifo chake. Haijafahamika...
Back
Top Bottom