Mtaani kwetu Ubungo, Makoka, DSM
Maeneo ya Kilimahewa kuna jirani amejenga nyumba ya kupangisha ambayo wanaishi wapangaji tu yeye anaishi mbali na hapo.
Sasa tatizo linaanza, choo cha hiyo nyumba kinavuja shimo la majitaka limeharibika hivyo majitaka yenye athari kwa mazingira na wakazi wa...
Anonymous
Thread
serikaliyamtaaubungomakoka
shimo la majitaka
ubungomakoka