Zaidi ya wakazi 3,000 wa mtaa wa mwananchi kata ya Mahina jijini Mwanza kwa miezi miwili sasa, wamekuwa wakihangaika kupata huduma za kiserikali bila mafanikio, baada ya kundi la watu wasiojulikana kuifunga ofisi ya serikali ya mtaa huo kwa madai ya kutoridhishwa na hatua ya kurejeshwa kwa...