serikali ya tanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya Tanganyika ina washauri wa kisheria? Kesi ya Tundu Lissu ilipata kufutwa maanda uhaini sio kosa la wizi wa kuku

    Ukisoma ibara zote za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kosa pekee la uhaini ambalo limetatwa kwenye katiba ni uhaini. Kwa mujibu ya ibara ya 28 (4) uhaini ndio kosa kubwa kuliko yote hapa nchini. Maana yake kama mtu ni mhaini lazima uwe na ushahidi uliokamilika kama kweli uhaini...
  2. JamiiForums Tanzania Kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika ni suluhisho la kudumu la kero nyingi za Muungano wetu

    Objection ya CCM dhidi ya uwepo wa Serikali ya Tanganyika ni baseless (or at least outdated). Hapa duniani ipo mifano kadhaa ya nchi ambazo zina muungano unaofuata mfumo wa shirikisho (federal system) na miungano yao haiteteleki. Kwa leo nitatoa mifano mitatu ifuatayo: ◾️Ujerumani: Hili ni...
  3. JamiiForums Tanzania Tuwe makini kuhusu wanaotoa mawazo ya Serikali ya Tanganyika, tutaletewa kiini macho kutuhadaa tu

    Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo wa aina hii na bado unakuta wanaona ni sawa na wengine wanatetea. Kuna haja ya kufanyika ustaarabu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muungano uvunjwe au Tanganyika iwe na Serikali yake pia kama Zanzibar hutasikia chokochoko, tofauti na hapo tujiandae kwa vita nyingi sana

    Zanzibar kuna raisi, Tanganyika raisi ni nani? Wapeni Tanganyika serikali yao mambo bado mabichi Hali ikiwa mbaya zaidi hatutaweza kuzuia, kuziba ufa ni Bora kuliko kujenga ukuta. Kama tumeona Kuna haja ya kuwa na waziri wa muungano tena makosa yanarudi kulekule ni mzanzibar hapo kwa kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…