serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Aina za halmashauri kwenye serikali za mitaa

    Naomba kuuliza wataalamu, je kuna aina ngapi Za halmashauri kwenye serikali za mitaa?
  2. Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  3. Wenyeviti Serikali za Mitaa amkeni: Wakuu wa Wilaya angalieni hii inawahusu

    Viongozi wa mitaa ndiyo base ya mambo yote serikali inayopanga. Bila Hawa viongozi kufanya kazi yao kazi haiwezi kufanyika. Mabalozi wa shina ndio msingi mkuu wa kuunganisha wananchi. Dhana yote ya utawala bora itategemea oganaisheni(organization) ya Mh DC, na wananchi bila Hilo hakuna kitu...
  4. L

    Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

    Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150. Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu? Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
  5. Vibali vya ujenzi moja ya kichaka cha rushwa Serikali za Mitaa

    Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea. Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa...
  6. CAG 2019/20: Mapungufu katika Usimamizi wa Mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa; 1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
  7. Ripoti ya Uwajibikaji: Changamoto za Usimamizi wa Rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa; Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753 Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
  8. Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  9. Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  10. Tuboreshe Utendaji wa Serikali za Mitaa ili kuleta Tija

    Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa makusudi ili kusogeza huduma karibu zaidi lakini hazifanyi kazi ipasavyo. Tuboreshe muundo kama ifuatavyo...
  11. U

    TAMISEMI: Tume ya Utumishi wa Walimu, fanyeni msawazo wa walimu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano

    Waziri Ummy - Fanyeni msawazo wa waalimu nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ameielekeza Tume ya Utumishi wa waalimu nchini kuhakikisha wanafanya msawazo wa waalinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kuweka uwiano sawa wa waalimu...
  12. S

    Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  13. Nani anapanga tozo za tunazolipa Serikali za mitaa?

    Wakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni. tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi. Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.
  14. Serikali za Mitaa tungeni Sheria kuokoa vizazi hivi

    Mkoa wa Dar es Salaam nimoja kati ya mikoa yenye kitu kinaitwa shughuli Hii kitu hua ni familia fulani inaamua kuweka sherehe maalumu hua zina majina mfano beseni, arobaini, kumtoa mwali na majina mengine wazaramo wanajua sana hii kitu. Ukiangalia maudhui ya matukio haya hua sio mabaya...
  15. Baada wa Watendaji wa Serikali za Mitaa Kawe 'Kutimka Mbio' Kuogopa 'Chatu' aliyeko katika pori la Chuo cha Tiba Lugalo msaada unahitajika

    Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimethibitishiwa na Mamlaka ya Ofisi za Serikali ya Mitaa Kawe na Mtendaji Mwandamizi kutoka Jeshini Kambini Lugalo kilipo Chuo chao cha Tiba cha MCMS ni kwamba kuna uwepo wa Chatu mkubwa kiasi cha Kutishia Maisha ya Watu. Kwa takribani Siku tatu zimepita Wakazi wa...
  16. J

    IGP Sirro: Nitawashtaki Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Wazembe kwa Wakurugenzi ili wabadilishwe

    IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine. Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja...
  17. Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

    Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake. Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua wanaotuhumiwa vibaka, ndani ya ofisi za Serikali. Wananchi nao wanakasirika na kuchukua miili za marehemu...
  18. Rais Nyerere alikuwa ni muumini wa ugatuzi(devolution/Decentralization)?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema. "Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia." Nimeitafuta hiyo hotuba sijaipata. Je Nyerere alipoanzisha serikali za mitaa alipanga ziwe...
  19. J

    Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  20. Tukumbushane! Mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa majengo kwenye mamlaka za serikali za mitaa

    TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…