Chama cha upinzani cha NLD nchini Tanzania kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa nchini humo utakaofanyika Novemba 24, 2019.
NLD inaungana na vyama vingine sita kususia uchaguzi huo. Vyama hivyo ni; Chadema, ACT- Wazalendo, UPDP, CUF, Chaumma pamoja na NCCR-Mageuzi.
Taarifa...