Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma
Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu...