serikali za mtaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  2. LGE2024 Wazee Wa Kigoma Wafanya DUA Maalumu Uchaguzi Serikali Za Mitaa kwa kuchinja ngamia

    Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’. Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
  3. LGE2024 Vyama zaidi ya 10 vya Upinzani Tanzania, vimefurahishwa na mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mtaa 2024?

    Salaam Wakuu, Hadi sasa hivi vyama vyama zaidi ya 10 vya Upinzani venye nia ya kuiondoa CCM madarakani, vipo kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Je, vimefueahhishwa na mchakayo wa Uchaguzi Serikali za Mitaa? Nawaomba vyama vifuatavyo vijipambanue kuunga mkono au kutounga mkono Mchakato...
  4. K

    LGE2024 Tundu Lissu: Kupata wagombea 380,000 Serikali za Mtaa ni changamoto kubwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amekiri wazi kuwa chama chake kinapata wakati mgumu kupata wawakilishi wa Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa kutoka na hitaji la wingi wa Wagombea. Amesema hayo katika mahojiano na Chief Odemba wa Star TV. Unadhani kwa kauli hii ndio kusema Lissu...
  5. POTOSHI Video: Suzan Lyimo akitanganza CHADEMA kujitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa wa Mwaka 2024

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeibua mkanganyiko mkubwa kwa wanachama na wananchi baada ya kubadili msimamo wake kuhusu kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Awali, chama kilieleza nia ya kushiriki uchaguzi lakini Freeman Mbowe alinukuliwa akisema hawatashiriki. Baadaye, chama...
  6. Pre GE2025 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa zilivyofanyika kwenya mechi ya Simba Vs Yanga

    Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa. Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo...
  7. LGE2024 TAMISEMI: Jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika orodha hiyo kumejumuishwa maeneo...
  8. W

    KERO Viongozi wa Serikali za Mtaa Skanska Mashimoni, mnatarajia tuwachague tena mwaka huu kwa mazingira haya?

    Kituo cha Skanska maeneo ya Barabara ya Bagamoyo kuanzia mtaa wa Mashimoni hadi kuelekea Mtongani, hali ya mazingira ni mbaya mno, na afya za wananchi ziko hatarini. Mifumo ya maji ni mibovu, japokuwa hiki ni kipindi cha jua kali bado madimbwi ya maji machafu yamejaa kila kona. Najiuliza kwa...
  9. Kama mchengerwa ndo msimamizi mkuu uchaguzi serikali za mtaa basi wapinzani mmekwisha.

    Wasalaam Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani. Hakika siku...
  10. A

    KERO NEMC na Serikali za Mtaa, Wilaya ya Ilemela mmeshindwa kudhibiti kelele?

    Mimi ni mkazi wa Nyasaka, kata ya kawekamo, wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza. Kero yangu kubwa ni wimbi la kelele zilizopitiliza kwenye makazi ya watu zinatoka kwenye nyumba za ibada, sehemu za starehe na wafanya promotion za biashara na makazi ya watu wanapofanya sherehe za harusi. Imekuwa...
  11. Pre GE2025 Rais Samia: Tunaelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, nileteeni Watu wazuri ili nikishusha Mahela yatumike vizuri

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na wajasiliamali wadogo wadogo pamoja na kuwapatia shilingi milioni 20 kwa ajili ya genge lao. Aidha...
  12. Wananchi wa Goba wakarabati barabara wenyewe, Serikali za Mtaa washawishi bango litolewe

    Hii ni picha ya bango la mradi wa ujenzi na ukarabati wa kilomita mbili (2) Goba kwa Awadhi ambayo imesambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii. Mradi huu ni wa ukarabati na ujenzi wa mitaro ambapo unatokana na nguvu za wakazi wa eneo hilo. Inaelezwa wakazi hao wamekubaliana kujenga mitaro kwa...
  13. Ni utaratibu/ vigezo gani napaswa kuwa navyo ili kugombea nafasi ya uongozi Serikali za mtaa?

    Salaam ndugu zangu, Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu kugombea ili nami nitoe mchango wangu kusaidia changamoto za watu mtaa wetu kwa namna mbalimbaki lakini...
  14. Abdul ana nondo, asema uchaguzi serikali za mtaa haupaswi kuendelea kusimamiwa na Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Akizungumza na Clouds Media, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema wao kama chama hawakubaliani na sheria TAMISEMI kuendelea kusimamia uchaguzi Serikali za Mitaa. Ameongeza kuwa tunapotaka Haki ya Uchaguzi, Uchaguzi wa uhuru na haki hatuwezi kuendelea endapo Ofisi ya...
  15. Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hili ni swali la pendekezo uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani, usogezwe na kufanyika 2025, ufanyike siku moja na uchaguzi mkuu wa 2025, na usimamiwe na Tume huru ya uchaguzi, by that time pia ile...
  16. Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…