serikali

  1. Serikali ipambane kuondoa matabaka kwenye shule zake. Kibaha iwe sawa na Oljoro

    Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna sahihi kwa sababu hata EMs ni za watanzania kwa ajili ya watanzania. Kwa pamoja EMs na Kayumba ziko kwa...
  2. Gerson Msigwa: Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko, 8 zimeshawasili

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko ambapo treni 8 zimeshawasili na kati ya hizo 8, treni moja siku ya Jumamosi Januari 25, 2025 inakamilisha majaribio yake kutoka...
  3. Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi?

    Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri. Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani. Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
  4. RC Chalamila aongoza wananchi kufanya usafi - Dar es salaam

    Na Mwandishi Wetu -Asema Tanzania inaingia kwenye historia nyingine ya kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Marais wa Afrika -Atoa taarifa ya kufungwa kwa baadhi ya barabara siku chache ambazo ugeni utakuwa katika Mkoa huo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025...
  5. Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, leo Januari 25, 2025

    https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
  6. Utendaji wa kimazoea umezidi serikali ya Samia

    Huu utendaji wa mazoea mazoea ulikua umeisha kabisa kipindi cha Hayati Magufuli naona sasa umerudi , mtu anaingia ofisini kitu cha kupitisha kwenye mfumo ata login kisha atakua anaitizama kompyuta yake huku anachezea simu mpaka siku inaisha na unakuta kwenye mfumo yeye anatakiwa kubonyeza just...
  7. Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi

    Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani...
  8. Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  9. M

    Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

    Hello JF, Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana Imagine mwanao amepangiwa shule hii
  10. Serikali inayofanyakazi: Serikali ya #JMT🇹🇿 na @UNWTO zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya 🇹🇿 Kongamano la Chakula

    HIZI NDIZO KAZI ZA SERIKALI YA KISASA https://x.com/urtupdates/status/1882732188799799422
  11. A

    DOKEZO TAMISEMI chunguzeni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali katika shule ya sekondari Mvuti

    Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka 2019 alipoondolewa Head Master aliyekuwepo na kuletwa Headmaster Mpya aliyepo mpaka sasa! Je nini...
  12. Serikali ipige marufuku shule za dini au izitaifishe?

    Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje . Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI hasa zile dini za Ulaya...
  13. K

    KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  14. B

    Kuna shule za English medium za serikali

    Habari zenu ndugu zangu naomba kuuliza hivi Kuna shule za English medium za serikali? Hapa Tanzania kama zipo mnaweza kuzitaja jina na mikoa zilipo
  15. Mlipuko wa Marburg Tanzania: Serikali yatoa Mwongozo wa Wasafiri wanaoenda na kutoka Mkoani Kagera

    Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa nchi Kilomita 1450 na 1068 kutoka Dar es Salaam na Arusha kwa mtawalia. Kufuatia mlipuko huu...
  16. Diaspora waahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana Nchini Czech

    Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi. Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit...
  17. Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla? Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
  18. Chuo cha Kilimo cha Igabiro (Kagera) chakiri Wahitimu hawajapata vyeti kwa miaka miwili, chasema ni suala linalohusu mamlaka za Serikali

    Mkuu wa Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture, Sadoki Stephano ameelezea madai ya kuwa kuna changamoto ya Wanafunzi waliohitimu chuoni hapo kutopata vyeti huu ukielekea kuwa mwaka wa pili. Amesema kilichotokea ni suala la kimfumo ndani ya Mamlaka ya Serikali na linashughulikiwa...
  19. Z

    Serikali haimuoni Chief Godlove ?

    Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove. Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao. Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye...
  20. Ni wakati sasa Serikali ya Tanzania kuibana Serikali ya Israel kutuambia miili ya Watanzania ipo wapi?

    Wanaukumbi. Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas. Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…