serikali

  1. Serikali anzisheni agency ya ukaguzi wa magari hizi ajali zimetuzidi nguvu.

    Lori lingine nimefyeka watu 10 Tanga. Recently nilishauri serikali kuanzisha agency ya ukaguzi wa magari. Moja ya sekta ambazo kama nchi tumekwama. Machine zinazotembea barabarani ni kama majeneza. Yameoza hayafanyiwi service. Nashauri tena serikali anzisheni agancy serious ya kukagua magari...
  2. Maria Sarungi: Naamini mtanzania anahusika juu ya kutekwa kwangu

    Wakuu, Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali. Maria amesema kuwa kitendo cha watekaji kuwa kumzungusha sehemu mbalimbali na kutaka simu zake na passwords zake ni...
  3. Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  4. RC Mrindoko: Ufyekaji wa Mahindi ya Wananchi wa Wilaya ya Tanganyika si maelekezo ya Serikali

    https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio maelekezo ya serikali na si haki kufanya hivyo. Mwishoni mwa mwezi Disemba,2024 baadhi ya wakulima wa...
  5. Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
  6. Ushauri wangu kwa serikali

    Ushauri wangu kwa serikali 1. Wizara ya Nishati, EWURA na TANESCO. ( A ) Kwa kuwa ripoti zao zinaonyesha umeme uliopo ni mwingi kuliko mahitaji basi ni rai yangu washushe bei ya kuingizia umeme kuwa TZS 27,000/= kwa maeneo yote nchini ili kila mmoja amudu na Faida yake ni kwamba shirika...
  7. H

    KERO Taasisi za Serikali chini ya NACTVET na mambo ya bima ya afya

    Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo vya serikali na vile vilivyoko chini ya NACTVET. Ni jambo la kawaida kwa mwananchuo kutakiwa...
  8. M

    Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  9. Wazo ftatu: Serikali iandae sera ya kuhamasisha ndoa (iwalipie mahari waoaji kwa asilimia kadhaa) ili kukuza uchumi wa Taifa

    Wakuu mpo? Kwa wale mlio na familia namaanisha mke na watoto nadhani mtanielewa kwa haraka, Mtu aliyeoa mwenye majukumu, mwenye afya njema ni nadra sana kumkuta kalala ndani bila kujishughulisha na kazi yeyote, wengi huamka asubuhi huenda kazini na kurudi home mida mibovu, sababu kubwa ni...
  10. L

    Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote. Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
  11. R

    Ikiwa KAZI ya Serikali ni kulinda raia, Kwanini Dr Slaa asipewe dhamana na kulindwa?

    Hellow Tanganyika, Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia? Kwamba korokoroni ndio Mahali salama? Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni? Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏 Karibuni!
  12. Kazi nyingi za serikali zilipaswa kuwa za mkataba/ajira zisizo za kudumu

    Hizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana. 1.Ubalozi 2.Mwanasheria mkuu 3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma 4.Madaktari 5.Polisi
  13. Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

    Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima! Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali! Magorofa makubwa na mall pamoja...
  14. U

    Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes. Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland. Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na...
  15. Z

    Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine. Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
  16. Mbowe amethibitisha kuwa hata kama CHADEMA ingechukua Serikali, kama yeye akiwa Kiongozi Mkuu, hakuna la pekee

    Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM. Leo hii, kama upo ndani ya Serikali, halafu ukaikosoa Serikali au Rais au mwenyekiti wa CCM, huo itakuwa...
  17. Usipotambua kwamba Watanzania tunaishi Kibepari (Capitalism), utaishia kuilalamikia Serikali haikusaidii

    Watanzania wengi huishi kwa matumaini kwamba serikali itaingia moja kwa moja katika maisha yao na kutatua changamoto zao. Hili limewafanya wengi kulalamikia serikali, wakiamini kwamba ina jukumu la moja kwa moja la kubeba kila tatizo, bila kutambua mfumo wa kiuchumi tunaoishi ndani yake – mfumo...
  18. Lissu anavimbishwa mno Kichwa na Keybord Worrior

    Yule Maria Sarungi haijulilkani hata anaishi wapi na ni Gener wa Keybord Worrior. Humu sasa ndio kuna idadi isio hesabika ya Ma Keybord Worrior ambao front laini kamwe na daima huwezi waona na hutakaa uwaone. Lisu anavimbishwa kichwa sana na hawa Keybord worrior ambao Ujasiri wao uko kwenye...
  19. Serikali itukumbuke Shule Kijiji cha Kakulungu (Tabora), hatuna shule ya Msingi wala Sekondari

    Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa kwetu Kakulungu. Kijiji chetu kipo Kata ya Uyui, Manispaa na Mkoa wa Tabora, kilianzishwa Mwaka...
  20. Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

    Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt. KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…