serikali

  1. M

    Serikali iweke wazi tuhuma zake za ugaidi dhidi ya Mbowe zilibase katika ushahidi gani!

    Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi wananchi tunachoamini ni kuwa kesi hiyo ilikuwa ni ya mchongo, ya kubambikiza na ya uonevu. Lakini...
  2. Kuruhusu machinga kufanya biashara barabarani sio kuwapenda

    Machinga wapo kila pahala Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road Hizi ni sehemu hatarishi Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo na msingi Watu wa mpango mji mnafanya Nini ofsini Tunajua hawa ndo wapiga kura ila serikali ni...
  3. Serikali Yabainisha Mikakati ya Kurejesha Hadhi ya Madini ya Tanzanite

    SERIKALI YABAINISHA MIKAKATI YA KUREJESHA HADHI YA MADINI YA TANZANITE -Waziri Mavunde azindua mnada wa ndani Mirerani. - Minada ya ndani na nje ya nchi kutumika kutangaza madini ya vito. -Madini yote yatakayokosa wanunuzi kurejeshwa kwa wahusika -Wadau waonesha nia ya kujenga Mji wa...
  4. S

    Ubandikaji wa matangazo kwenye miundombinu ya Serikali upigwe marufuku

    Habarini, Kuna tabia imekua ikinikera miaka nenda rudi. Serikali inakazana kuunda miundo mbinu na kuifanyia finishing nzuri ili uliwe na mwonekano mzuri na kuvutia lakini baada tu ya mradi kuanza watu wasiojua uzuri na waliokosa ustaarabu wanaanza kubandika sticker za matangazo ya kampeni...
  5. Kubadilisha kozi ukiwa umeajiriwa na Serikali

    Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo. 1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma anataka degree🙏 2. Na mfano Serikali imekuajiri kama mtu mwenye diploma ya environment health na unataka...
  6. Kwanini serikali haitaki wananchi wa vijijini wakatumia nishati safi ya kupikia kwa gharama ya shilingi sifuri?

    Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza kutumika kutengeneza nishati safi, kinachohitajika ni serikali kuwapa vifafaa vinavyohitajika...
  7. Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  8. M

    Wakazi wa kichangani Kisarawe II tumeikosea nini serikali yetu??

    Wakazi wa Kisarawe II, Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali? Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile. Tumeomba kifusi kutoka kwa mkandarasi anayejenga barabara ya Kibada Mwasonga nacho tumenyimwa lengo ni mpaka...
  9. Serikali inapaswa kuona umuhimu wa kuweka sheria na utaratibu mzuri kwaajili ya watanzania wote wanaofanya kazi viwandani ili kuwalinda na ukatili

    Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za binadamu. kuna ushahidi mkubwa kuwa kuna watanzania wengi wananyanyasika viwandani na kufanyishwa kazi...
  10. Swala la Elimu bado serikali inatania kwenye baadhi ya mambo

    Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba kutakuwa na mkondo wa jumla na mkondo wa amali na shule za mkondo wa amali zikaainishwa watoto wakachagua
  11. LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aonya viongozi wa Serikali Za Mitaa kutojihusisha na uuzaji wa ardhi

    Wakuu, Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amewataka viongozi wa Serikali za vijiji na vitongoji kutojihusisha na uuzaji wa ardhi katika maeneo yao. Hayo yamejiri katika kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) katika wilaya hiyo ambapo mbunge wa jimbo la...
  12. Je Serikali inaona hivi vibanda vinavyochipuka kila kona ya Jiji.

    Miaka miwili iliyopita Serikali ilifanya jitihada Kwa kile kilichotajwa kuwapanga machinga, zoezi ambayo lilifanyika nchi nzima. Mafanikio yalikuwa makubwa kwani maeneo mengi ambayo yalikuwa na changamoto yalipangika vizuri . Nguvu na gharama kubwa zilitumika. Kwa sasa hakuna jitihada zozote...
  13. Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  14. C

    Namtafutia mwanangu nafasi ya shule ya serikali form one 2025

    Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule teule, kiukweli inakatisha tamaa. Shule alomalizia ni Dsm wilaya ya ilala, sasa ni hivi Mimi natafuta...
  15. Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma inaonekana ni kama mtihani mgumu kwa baadhi ya Idara na Taasisi

    Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao. Mwaka 2017, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, alitangaza rasmi kuhamia kwa...
  16. Kwa mliofika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, unatoa asimia ngapi kwa ubunifu katika uchoraji ramani za majengo (archtecture designs)?

    Nawauliza wadau wa JF mliofika Mji wa Serikali Mumbai, mnatoa maksi ngapi? Jengo lipi mchoraji amefunika?
  17. Serikali kuwapima afya ya akili waajiriwa wapya

    chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024 Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni. kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia matumbo au kichwa? Ni mambo yapi ambayo mnafikiri wabunge wetu wakati...
  18. Viongozi wa Serikali watakiwa kuwasilisha taarifa za Mali na Madeni kabla ya Desemba 31, 2024

    Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024. Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
  19. M

    NSSF ITURUHUSU TULIOAJIRIWA SERIKALINI KUCHUKUA MAFAO YETU NSSF TULIOJIWEKEA WAKATI TUKIFANYA KAZI PRIVATE

    Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
  20. Gerson Msigwa, haiwezekani kila mmoja akawa Mlinzi wa SGR, Serikali iwajibike

    Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji. Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine learning, satellite, Blockchain, internet of things, automotous drones, robotics and automations...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…