serikali

  1. Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini

    Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika 17, vikundi 31 na watu binafsi wawili (2). Maeneo 39 yanayofaa kwa ufugaji samaki kwa vizimba...
  2. LGE2024 Askofu Pisa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa kama 'Mchezo Mchafu'

    Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), jijini Dar es Salaam Maaskofu hao pamoja na wadau wengine wa...
  3. Mbeya: Kata iliyokosa Shule, Serikali yaanza ujenzi haraka

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amekagua Ujenzi wa Shule Tarajali ya Sekondari iliyoko Kata ya Kawetele Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe na kuwataka Wananchi kuwa Wasimamizi na Walinzi wa Vifaa vya Ujenzi na Kwa wale wasio waaminifu kuacha mara Moja tabia ya Wizi kwa kuwa kufanya Kwao...
  4. KERO Barabara ya Mbagala hadi Kongowe ni nyembamba, ina mashimo na inasababisha foleni mara nyingi

    Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo. Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St Matthews. Hiyo foleni imechukua dk kama 45 hadi kufika makutano ya Kongowe kwenda Kigamboni. Kwenda...
  5. Ni Tanzania pekee ambako Serikali inahudumia Law Soceaty, za huko Duniani zinajihudumia zenyewe

    Mpaka sasa nimekamilisha kupitia Law societies za nchi kadhaa ila zote nimekuta zinajiensesha zenyewe kwa michango yao, hi ni tofauti na TLS ambayo sasa ni semeu ya Serikali. Inafikirisha sana pale unapo ona Watu wanao tegemewa kwamba hawa ndio msaada wa mwisho au tumaini la mwisho, wanapo unga...
  6. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  7. A

    DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  8. Mbeya: Viongozi walioshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa warudisha fadhila kwa wananchi

    Wakuu, Viongozi wa mtaa wa Masewe na Ilemi kutoka mkoani Mbeya,Patrick Mwashuma na Lupakisyo Mwasasu, wamefanya hafla ya kuwashukuru wananchi wa kata hizo kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, uliofanyika Novovemba 27.2024. Katika hafla hiyo iliyofanyika leo kwenye viwanja...
  9. Serikali iajiri walimu, watoto wanapoteza muda shuleni

    Kuna upungufu mkubwa wa walimu kwenye shule za umma Nina mdogo wangu anasoma PCB huko Mwanza anasema haijawahi kumwona mwalimu wa Physics na Chemistry shuleni Toka mwezi wa 7 Mfano Nilifika Wilaya ya Mkuranga shule msingi Koma ina mwalimu mmoja ambaye pia ndo mkuu wa shule. Shule ya Msingi...
  10. Pre GE2025 Waziri Ndumbaro: Serikali haipendi kabisa matamko ya kukurupuka ya TLS

    Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. =============== Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya...
  11. Swali la Siku:Jambo gani wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unahisi halikuwa la Kweli?

    Novemba 27, 2024, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulifanyika, ukiambatana na matukio ya aina mbalimbali, yaliyokuwa ya Kweli, huku mengine yakitia shaka kuhusu Uhalisia wake. Mdau, je, ni jambo gani hasa, kuanzia hatua ya kutangaza nia kwa wagombea hadi mchakato mzima wa uchaguzi, unahisi...
  12. A

    KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  13. Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
  14. K

    Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi

    Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi 1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa 2. Kuiba kura 3. Rushwa Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
  15. Viongozi wa dini, Serikali wasisitiza amani na utulivu

    Watanzania wametakiwa kulinda, kutunza amani na utulivu hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika mwakani. Viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa rai hiyo kwenye kongamano na dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan iliyoandaliwa na mbunge wa...
  16. S

    Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  17. Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  18. Kwanini serikali inashindwa kulipa madeni ya ndani (extra duties, hela za overtime, malimbikizo nk) shida ni nini au Ni kujiendekeza?

    Wakuu anaejua ukweli huu anisaidie kujibia!
  19. Y

    Je, Serikali ipo na Sisi au imeamua kutuzamisha kabisa?

    Imagine nmehitimu chuo, nikakosa kazi si kwa kupenda, sababu kubwa ni kutokua na uwezo wa kusafiri kwa ajiri ya interview hasa ktk mikoa ya mbali Nmejichanga na kupata kihekali kimoja na kufanya kilimo cha mpunga, nmepata mbegu kwa mbinde Shamba nimekodi kwa pesa nliyoipata kwa mbinde -...
  20. Serikali Kushirikisha Vijana Kupambana na Uhalifu, Bashungwa Atoa Onyo Kali

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia vyombo vya usalama na taasisi nyingine za Serikali zitashirikiana na Vijana ili kupata suluhu kwa baadhi ya changamoto zilizopo na zinazoendelea kujitokeza katika jamii ikiwa ni pamoja uhalifu, kupambana rushwa, dawa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…