Tuanzie na mifano michache kabla ya kuelimishana juu ya USTAARABU:
Mfano wa matumizi ya kifungashio:Mtu ananunua bidhaa, akisha kuitumia, kifungashio chake anakitupa sehemu yoyote ile, mfano maji, vyakula, n.k. Hii ni tabia isiyo na ustaarabu, kwani kifungashio kinachotupwa ovyo kinachafua...