serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yakusudia kuchanja asilimia 60 ya Watanzania Chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam. Baada ya chanjo ya Covid-19 kuwasili nchini Serikali imejiweka lengo la kuwachanja asilimia 60 ya Watanzania wote. Waziri wa Afya, Dk Doroth Gwajima amesema awamu ya kwanza ya chanzo hiyo itatolewa kwa makundi ya mstari wa mbele ambayo yatawekwa wazi siku ya kesho. Amesema kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG. Asanteni Sana
  3. JamiiForums Tanzania Serikali itoe mwongozo wa kuainisha ipi mikusanyiko ya lazima na ipi ni mikusanyiko isiyokuwa na lazima

    Habari wanajamvi, Kuhusiana na janga hili la Corona sasa tumeanza kujionea tena kuwa kila kiongozi wa sehemu anapiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Lakini ukiachilia mbali hili pia tunajionea kuna mikusanyiko inaendelea lakini inahisiwa siyo ya lazima. Sasa kumekuwa na Mkanganyiko...
  4. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ushauri wa Bure kwa Wizara ya Afya na Serikali

    Ninaandika haya nikiwa binafsi naugulia moyoni kutokana na tukio lisilo la kiungwana la vyombo vya serikali Mwanza na yatokanayo. Kutokana na hilo hapo juu inamfanya mtu awaye yote kughairi mambo mengi. Hata hivyo kutokana na thamani ya maisha ya binadamu, nisiache kuandika haya ambayo aghalabu...
  6. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

    Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake. Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi? Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mikopo ya serikali kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu izingatie na haya

    Moja ya sifa za kupata mikopo hii kikundi kinapaswa kuwa na watu kwanzia 10 na kuendelea, na kwa wenye ulemavu wanaanzia watano na kuendelea. Hoja yangu ni kwamba, kwa upande wa vijana hii sifa imeangalia kundi la vijana ambao hawana elimu kwa mapana kwasababu ni rahisi mno kwa vijana waliokaa...
  8. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

    Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

    Mwanzo tulidhani rais huyu ni muungwana, mchukia uonevu, mstaarabu kumbe ni walewale. Ukiwa member kwenye timu ya wachawi na wewe ni mchawi tu. Naona serikali yake imeanza kubambikizia watu kesi. Eti Mbowe gaidi, ugaidi mmeujua tu kwa kuwa kaanza kudai katiba mpya na haki ya vyama vya siasa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

    Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kutoa mapendekezo ya vyanzo vya Kodi kwa Taifa, serikali inasikia kupitia njia ipi?

    Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine. Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama mdau wa maendeleo naiomba Serikali iweke akaunti maalum, tuichangie

    Habari zenu? Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo. badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari, watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kutegemea wafadhili hatutapiga hatua

    Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu. Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi. Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu kulingana na rasilimali tulizonazo. Hii ya kujivunia kupendwa na wazungu ama kutaka kuonekana uko...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

    Mwamba kaungurumu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Fomu ya kuridhia chanjo ya corona (conset form) irekebishwe. Serikali ikubali kuwajibika kwa madhara ya chanjo kwa watu

    Kamati ya corona pamoja na majukumu mengine ilipewa kazi ya kuzifanyia utafiti chanjo za corona ili kujiridhisha kwa ubora na usalama wake kabla ya kuziruhusu kutumika kwa watanzania. Kamati hiyo ilijitokeza mbele ya watanzania wakiwa wameficha nyuso zao kwa kisingizio cha kuvaa barakoa, na...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi nyara za serikali ni nini!? Au ni zipi?

    Naomba kuelewa kidogo kuhusu nyara za serikali
  19. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikileta vurugu, CCM itakuwa ndiyo chanzo kwa kukataza mjadala

    Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali toeni kauli suala la Kadi feri Kigamboni

    Kwa kipindi sasa kuna tatizo sana kwenye ishu ya kuvuka Kigamboni. Kuna vijana ambao wanalazimisha watu kununua Kadi au kutumia Kadi kuvuka Kigamboni. Ni Jambo jema Ila the way linaendeshwa ndio tatizo. Sioni sababu yoyote ya kufanya Jambo Hilo kuwa lazima, kiasi kwamba kama hauna Kadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…