serikali

  1. Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
  2. Serikali nyingi za Afrika ni Vibaraka wa Mataifa ya nje

    Serikali nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, zimekuwa vibaraka wa mataifa ya nje, hali ambayo inachangia kung’ang’ania madaraka, chaguzi zisizo huru, na ulinzi wa kimataifa kwa tawala za kidikteta. Hii ni sehemu ya mfumo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi unaodumaza bara la Afrika, unaoendeshwa na...
  3. Serikali Kutoa Muongozo wa Kuajiri Wanaojitolea

    SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini. Hayo yameelezwa, Jumatano, Januari 29, 2025, na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa...
  4. A

    Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  5. A

    KERO Changamoto ya laptops zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli ni kwamba laptop hizi zimekuwa na changamoto kubwa. Hadi sasa, laptop yangu imeharibika licha ya...
  6. Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

    Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
  7. Serbia Yatikiswa na Maandamano ya Kudai Uwajibikaji wa Serikali

    Maandamano makubwa yamezuka mjini Novi Sad, mji wa pili kwa ukubwa nchini Serbia, ambapo maelfu ya waandamanaji, wengi wao wakiwa wanafunzi, wamejitokeza kupinga ufisadi wa serikali na kudai uwajibikaji kufuatia kuanguka kwa paa la kituo cha reli mwezi Novemba mwaka jana, tukio lililosababisha...
  8. Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  9. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  10. Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  11. KERO Serikali iziangalie Barabara za Kahama, mashimo-mashimo ni mengi na inakera kutumia

    Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu. Barabara za mjini takribani kote ni changamoto, mashimo mashimo kila kona jambo ambalo linahatarisha usalama wa vyombo vyetu kuharibika mara kwa...
  12. B

    Chalamila, serikali wanapotutaka kulipia huduma za serikali wanajua malipo tunayolipa serikalini bila kupewa risiti ni kwa maslahi ya nani?

    Hii ni mifano halisi kwa malipo ya serikali bila risiti: 1. Huduma za afya hospitali ya wilaya Sengerema. 2. Kupita juu ya daraja la Busisi ili kuepuka adha ya ferry hasa nyakati za usiku. Kwamba huu kumbe ndiyo ulio utaratibu wa kawaida Sengerema huku! Kulipishwa huduma kwa niaba ya...
  13. Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  14. DOKEZO Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa na madini halafu serikali inipangie bei ya kuuza eneo langu na inakuwa ni Amri sio ombi

    Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi. Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
  15. Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  16. Serikali tutafutie wanunuzi wa mahindi

    Huku vijijini tumevuna mahindi Mahindi yapo mengi mno. Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni...
  17. Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  18. Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

    Kichwa chahusika. wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu. hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
  19. Ushauri: Serikali ianze kuandaa Mifumo mipya ya Kodi za Magari, Pikipiki na Guta za Umeme

    Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena. Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na...
  20. ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…