Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati,
Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
Tozo ya huduma ( service Levy) inatozwa kwa mjibu wa Sheria ya fedha namba 9 ya 1982 kifungu cha 6 (1)(U).
(u) all monies derived from the service levy payable by corporate entities at the rate not exceeding 0.3 percent of the turnover net of the value added tax and the excise duty.
What is the...
Nauliza Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wanatoa wapi nguvu ya kumshikilia mfanyakazi wa kampuni kwakuwa kampuni haijalipa CSL na huyo mfanyakazi ameenda hapo ofisini kwao kwaajili ya kuomba kulipa kwa installments?
Kata ya Nyamanoro Mkoani Mwanza wamekuwa wakiendesha kampeni ya kufunga maduka na kuchukua waliopo Madukani, hilo linafanyika kama unakuwa hujalipa Service Levy.
Hili suala sijui limetoka wapi na mimi kama Mfanyabiashara ni mara ya kwanza kusikia natakiwa kulipia Service Levy ya Shilingi...
Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga!
Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkurugenzi ameamua kufunga maduka ya Bukoba Manispaa kutokana na mgogoro wa Leseni na service levy.
Hali hii imetokana na aliyekuwa afisa biashara Richard kugushi vitabu vya Reciept na kutoa Leseni hewa lakini amekuwa akilindwa licha ya ushahidi wote kuwekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.