severin mushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wafanyabiashara wa Kariakoo wampiga chini Mwenyekiti wao zamani. Wamchagua Severin Mushi kama kiongozi wao mpya

    Wakuu, Wafanyabiashara wa Kariakoo wamemchagua Mwenyekiti wao mpyA anayeitwa Severini Mushi aliyepata kura 229 akimshinda, Martin Mbwana aliyekuwa akitetea kiti hicho ambaye amepata kura 12. Soma pia: Kariakoo: Kiongozi wa Wafanyabiashara azomewa Uchaguzi huo umefanyika Alhamisi Desemba 5...
  2. Soko la Kariakoo: Vipaumbele anavyoviomba Bwana Mushi hadi leo hamna au mnatania?

    Bwana Mushi; 1. Una elimu gani 2. Umri wako 3. Uzoefu wako kwenye biashara 4. Unafanya biashara Gani? 5. Utafanyaje ukichaguliwa, kutokuingiza siasa kwenye biashara? 6. Ni nini msimamo wako, kuhusu migomo ya wafanya biashara? 7. Saa100 ameruhusu raia wa kichina kufanya biashara za umachinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…