sex

  1. Navigator Paul

    Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

    Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
  2. Balqior

    Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Habarini, Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
  3. F

    Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  4. Natafuta Ajira

    Vijana wanasema hadharani kabisa kwamba wananunua sex

    Katika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na kukubali waziwazi kwamba wananunua sex, lakini leo hii imekua kawaida. Kiukweli maongezi yao...
  5. Eli Cohen

    Unakuta tu amefika mji fulani kikazi anaanza kusema "duh huu mji una guest houses nyingi". Sasa unajiuliza jamaa akaenda kufanya sex tour ama nini😂

    Wewe umejuaje ni nyingi,😂😂😂 Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
  6. F

    umuhimu wa ubunifu kwenye sex kwa wanandoa

    Ni muhimu sana kwa mke na mme kuwa wabunifu kwenye sex kila siku kwa kuzingatia yafuatayo: 1.maandalizi ya sex yaanze mara tu mnapoaganabkwenda makazini 2.amsha amsha ya sex iwe inaendelea baina yenu mnapokuwa makazini kwenu 3.kutafutiana vizawadi vya kuamsha hamasa ya sex baina yenu...
  7. F

    Madhumuni ya sex

    Madhumuni ya sex ni haya: 1.Kuburudisha mke na mume 2.Kuzaa watoto Nje ya hapo ni uovu na uasi kwa Mungu
  8. wasumu

    Je, sex tamu pasipo kumwaga?

    sisi waafrika hadi muda huu mutu amefikisha miaka 35 lakini inawezekana amejaza pipa ndio maana wengi wetu tunazeeka na kufa mapena na kutokuendelea. Kuna kitabu nilisoma kinasema sex bila kumwaga inawezekana.. Je, kweli sisi Afrika ukidumbukiza tu utaweza ku control hisia? Kuna faida nyingi...
  9. Tman900

    Binti amegoma kukutana kimwili {sexy} mpaka aolewe

    Leo kabla ya Mechi ya Yanga Kuanza. Kuna mteja alikua anahitaji Bidhaa Fulani Tulipofikia Makubaliano ya Hiyo Bidhaa nikakubaliana nae kumfikishia anapoishi( deliver). Sasa Mara Baada ya Kufika, nikakutana na Mteja wangu, Tukaingiza mzigo ndani tukamkabizi mzigo wake. Akamuita Baby( Mpenzi )...
  10. PSL god

    Nifanyeje sex hainisisimui kama zamani

    Sijui siku hizi nimekuwaje wakuu. Yaani ngono hainipi ule utamu niliokuwa naupata zamani kwanzia 2023 kurudi nyuma yaani kwanzia mwezi wa 10 hadi huu wa 11 nimesex mara 22 lakini niliyoifurahia ni hizo 1-4 basi kwanzia 5-22 ile raha ya mshindo na mwili kusisimka sina kabisa asee sasa sijui ni...
  11. Jumanne Mwita

    Mke wa Ne-Yo amletea mume wake Wanawake waku Sex nae nyumbani

    Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na...
  12. DR Mambo Jambo

    Sex is Gateway to your soul kuwa makini

    Kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine. Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo huwa si tena wawili wanakuwa wameungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii inawaunganisha kimwili...
  13. Metronidazole 400mg

    Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

    Kuna huyu jamaa jirani na nyumba niliyopanga, aisee nimeshindwa kumwelewa, akiwa huko faragha na mpenzi wako anagugumia/kulia kimahaba MPAKA kero....yaani wakigegedana huko yeye ndio anatoa makelele kupita hata huyo demu wake. Sasa nimejiuliza hii ni kawaida kweli??, kikawaida na uzoefu wangu...
  14. nipo online

    Kwanini sex inaondoa chuki katika ndoa?

    Yani nimekuja kucheki ukifarakna na wife mkakutana tu na mwenzio yani baada ya mchezo tu chuki zinayeyuka hivi kuna siri gani hapa katikati?
  15. nipo online

    Nimesikia wrong sex inaleta mikosi maishani kwanini?

    Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea? Nataka kuwa sahihi katika utafutaji sitaki ndumba Asanteni
  16. haszu

    Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  17. nipo online

    Msaada: Nini sababu ya uke kukauka wakati wa kufanya mapenzi?

    Chanzo ni nini? After 10 minutes nalazimika kuweka mate ili kuepusha friction?
  18. toriyama

    Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?

    Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili? Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano SE.X sms ndio inaenda nani kuruhusu mambo haya?
  19. G

    Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

    Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa. 1, Bar - Yaani wauza bar na Pub imekuwa kama wamekariri...
  20. Bob Manson

    Many witchcraft groups have ritual sex, believing that it is an important way to encounter the gods. 🔞🔞

    Ritualized sex magic draws upon the combined power of sex act and the involved participants. Magic spells and incantations are launched during Orgasm. According to folks who believe in it, sex magick works by harnessing sexual and orgasmic energy and using it to help manifest something they...
Back
Top Bottom