Hii ni ajabu na kweli ukisafiri na treni ya SGR utakuta maeneo mengi inapopita hiyo treni hayana network nzuri ya simu.
Je makampuni ya simu hayaoni kama wanapoteza fursa ya kupiga pesa? Hawaoni pesa mingi inayopotea hapa au ndo wameshashiba na kuvimbewa hawataki pesa tena?
TAARIFA KWA UMMA
RATIBA ZA TRENI KUFUATIA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 27-28, 2025
Dar es Salaam, Januari 26, 2025.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa ratiba ya safari za treni kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma...
Wakuu hili ni swali kwa wahusika au kama kuna mdau hapa mwenye ufahamu asaidie ufafanuzi.
Nina jamaa yangu hapa ana tiketi ya safari ila alitaka kubadilisha tarehe ya safari ili asafiri siku za mbele.
Sasa akaingia kwenye mfumo unamletea bill mpya ambayo ni kubwa kuliko hata ya ile ya tiketi...
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesafiri Kwa Treni ya SGR kutoka Dar hadi Dodoma na kupongeza Huduma nzuri alizopata akiwa Safarini ambazo hajawahi kuziona Katika Mabara 4 duniani alikosafiri Kwa Treni
Kupitia ukurasa wake binafsi wa X, Michael Battle ameandika:
"Train from...
Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.
Nimemsikia mkurugenzi mkuu wa TRC alilalamika kwamba wanahujumiwa na wanawajua kwa majina wahujumu wote.. Hapa inashangaza...
Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
Ni lini serikali itaanza ujenzi wa SGR ya kwenda Moshi na Arusha?
Hakuna kanda inaongoza kwa kua na wasafiri na watalii kama kanda ya kaskazini.
Sasa ni lini serikali yetu itaanza ujenzi wa treni ya umeme kwenda mikoa ya Tanga,Moshi na Arusha. Serikali ingeingiza mabilioni kwa matrilioni...
Great thinkers,
Naona huyu Mkurugenzi wa SGR anachezea serikali ya Dkt Samia, inakuwaje AC za Jengo la Abiria Magufuli hapo Dar AC hazifanyi kazi?
Nashauri Dkt Samia tumbua huyu Mkurugenzi maana abiria wanateseka na joto la Dar wakiwa wanasubiria kupanda treni
Pia soma:Mrejesho: Asante JF...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari.
Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko.
=====
UPDATES: 2200HRS
======
TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa.
UPDATES 2...
Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa.
Mfano Jana jumamosi...
Partial booking ipo hivi: Mfano tuchukulie vituo vichache (vinne) vya treni Dar, Pugu, Moro, Dom.
Abiria akikata tiketi ya Dar-Pugu, seat husika baada ya kuchaguliwa na abiria wa Dar-Pugu haitakiwi kuwa faint (innactive/unavailable), bali inatakiwa iendelee kuwa active kwa machaguo ya...
Haiwezekani hata mwezi haujapita watu washaanza kulalamikia SGR, yaani uhamasishaji wote wa kwanini hii ni reli ya kisasa. Kumbe bado ina watu wa kizamani!! Wanafikra za kizamani.
Imenikumbisha Wabongo tunavyopenda kuzindua vitu. Angalia vitu vilivyozinduliwa kwa mbwembwe za mbio za mwenge...
Nimeona mchakato toka reli inaanza kujengwa, Treni zenyewe kufika, na Tarehe ya uzinduzi. Hakuna mahali nimeona Tangazo la kazi mchakato wa kupata izi ajira kwenye treni pamoja na wahudumu?
Je wamepatikanaje?
Soma Pia: Baadhi ya Wahudumu wa Treni ya SGR (Dar) wanalangua tiketi kisha wanaziuza...
Siku moja baada ya taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro kutoa ripoti inayoonyesha kuwepo kwa abiria wenye lengo la kuhujumu Shirika Hilo hatimaye Leo Shirika la Reli (TRC) Limekiri kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu kwa baadhi ya abiria wa Treni ya umeme...
In short wananchi tunafahamu weakness walonayo viongozi wengi serikalini ,
Sio waoga kuiba by any means, yani upenyo mdogo tu wanaharibu kila kitu, pia ni very slow thinkers, pia mifumo ya usimamizi wa mashirika makubwa ya serikali unaamuliwa na wana siasa na sio wasomi walobobea, so hua hakuna...
Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
Uongozi wa TRA pamoja na mamlaka zingine ziwe makini sana na baadhi ya wafanyabiashara/wasafirishaji wa mabasi na malori ya mizigo wanaweza kuhujumu usafiri mpya ulio zinduliwa wa treni ya kisasa ya SGR.
Tunafahamu baadhi ya wafanyabiashara za usafirishaji hawakufurahia ujio wa SGR kwa...
Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje?
Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu
Ni usafiri tulivu, salama na wa uhakika sana, muonekano wa mandhari nzuri sana za misitu, milima na mabonde njiani ni burudani tosha, ukiachilia mbali huduma murua ndani ya treni, mazingira bora na ya kisasa sana ndani ya treni yenyewe.
Tanzania imelamba dume kwa kukamilika na kuanza kazi kwa...
Akisoma bajeti ya serikali bungeni waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema, Rais Samia amekamilisha miradi mingi mbali na changamoto alizozikuta ikiwemo COVID19 na vita vya Ukraine.
Mwigulu ameutaja mradi wa SGR kama mmoja wa mradi uliokamilika ambao amesema hadi sasa nauli zimeshatangazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.