Wanajukwaa!
Jiji katika siku hizi 2 litakuwa bize sana so kila kitu kitakwenda kwa speend sana
===================
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewaomba abiria wanaofanya safari zao kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma kupanga vizuri namna ya kufika mapema vituo vya stesheni...
Kama usafiri wa treni ya umeme ungefanya Kazi kwa ufanisi hasa kwenye hii njia ya Dar Dodoma ingekuwa ni mkombozi na mapinduzi makubwa ya usafiri wa haraka Tanganyika.
Nimemsikia mkurugenzi mkuu wa TRC alilalamika kwamba wanahujumiwa na wanawajua kwa majina wahujumu wote.. Hapa inashangaza...
Great thinkers,
Naona huyu Mkurugenzi wa SGR anachezea serikali ya Dkt Samia, inakuwaje AC za Jengo la Abiria Magufuli hapo Dar AC hazifanyi kazi?
Nashauri Dkt Samia tumbua huyu Mkurugenzi maana abiria wanateseka na joto la Dar wakiwa wanasubiria kupanda treni
Pia soma:Mrejesho: Asante JF...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.